Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KINGWANDE AMSHUKURU MAYELE KUMPATIA SHILINGI MILIONI 30 ZA BIKOSPORTS


Mkazi wa Kibiti mkoani Pwani, Yasin Kingwande katikati akionyesha mtindo wa ushangiliaji wa mshambuliaji nyota wa Yanga, Fiston Mayele baada ya kutupia bao muhimu kwenye mechi yao dhidi ya Azam FC na kuufanya mkeka wake kufanikiwa. Wengine pichani ni marafiki zake. Picha na Mpigapicha wetu.
Mkazi wa Kibiti, mkoani Pwani, Yasin Kingwande akionyesha shangwe kubwa baada ya kufanikiwa kugusa kilele cha ushindi wa bikosports kwa kushinda Sh Milioni 30 za mchezo huo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali duniani. Mkeka wake ulitiki kwa kubeti mechi 12 tu huku akitumia sh mia 500 kama mtaji wake. Picha na Mpiga wetu.


Mwandishi Wetu, Kibiti

Mkazi wa Kibiti mkoani Pwani, Yasin Yusuph Kingwande, amemshukuru mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele kwa kumpatia shilingi milioni 30 alizoshinda kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo wa michezo mbalimbali duniani ya Bikosports, baada ya kupachika bao la ushindi katika mechi yao dhidi ya Azam FC.


Kingwande alibashiri mechi 12 na kuweka mtaji wa sh 500 na kumfanya aguse kilele cha ushindi kwa kubeti kuanzia mechi tatu na kuvuna hadi asilimia 100 kwa kupitia *149*89# wakitumia namba ya kampuni 101010 na wale wanaobeti kwa njia ya mtandao wa www.bikosports.co.tz.

Akizungumzia ushindi wake huo, Kingwande alisema Mayele ndiye aliyenusuru mkeka wake kwa kupachika bao la ushindi dhidi ya mpinzani wao Azam katika mchezo uliokuwa na msisimko wa aina yake akitupia bao katika mechi kubwa, akibeti kwa kutumia kampuni ya bikosports.

"Huwa naweka mkeka mara kwa mara kwa kupitia kampuni ya bikosports ambayo kwangu naona ni rahisi sana kubeti nao, nikiwa na shauku kubwa ya kuvuna fedha jambo ambalo limefanikiwa kwa kupitia matokeo mazuri ya mechi yangu ya mwisho kati ya Yanga na Azam FC.

"Watanzania wote hususan wale wanaopenda kubeti nawaomba watumie kampuni ya Bikosports kwa sababu hawana longolongo katika uendeshaji wao na huwa na bonansi nzuri kuliko kampuni zote zinazojua mimi," alisema Kingwande.

Bikosports ni mchezo unaochezwa na Watanzania wote hususan wale wenye ndoto za kukuza uchumi wao ambapo kwa kupitia simu ya mkononi *149*89# au www.bikosports.co.tz wanaweza kucheza na kushinda fedha nyingi kama ilivyokuwa kwa Kingwande.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com