CITIZEN PRE & PRIMARY SCHOOL INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA KUTWA NA BWENI 2022


👉Shule ya awali na msingi ya Citizen iliyoko Ushirombo wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita, inatangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wa kutwa na bweni kwa mwaka wa masomo wa 2022.

👉Kitaaluma, Shule ya Citizen Pre and Primary Schools ni miongoni mwa Shule zinazofanya vizuri sana hapa nchini.

👉Citizen Pre & Primary schools ni Shule ya kutwa na bweni iliyo na mazingira tulivu na rafiki kwa utoaji elimu.

👉Shule ya awali na msingi Citizen ina watumishi na walimu wenye weledi mzuri kwa ufundishaji na malezi bora na usimamizi mzuri wa utoaji huduma kwa watoto.

👉Tunazo nafasi za kuhamia na ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu.

👉Usafiri kwa wanafunzi ni wa uhakika.

👉Kwa maelezo zaidi tupigie kwa namba 0766006611 au 0784529685

Citizen pre & primary school, elimu bora ni haki ya kila mtoto.

NYOTE MNAKARIBISHWA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم