Baada ya kupotea kwa masaa kadhaa akaunti ya youtube ya CEO wa WCB Diamond Platnumz imerudi baada ya uongozi wa lebo hiyo kusema kuwa wametambua kosa liko wapi na kulishughulikia kwa kuwasiliana na Youtube makao makuu.
Mwanzo walieleza kuwa akaunti hiyo ilidukuliwa na mdukuaji kwenda live kwa kutumia content ambayo haikuwa ya Diamond kwahiyo ilikiuka masharti ya Youtube.
Social Plugin