Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - SAUDA


Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Kisima ' Nyanda Majabala' kutoka Bariadi Mkoa wa Simiyu anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa Sauda'...Sauda ni miongoni mwa nyimbo kadhaa mpya alizoachia...Video hii imetengenezwa Mbasha Studio na Director Migera ..Tazama Hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com