Video Mpya : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - MAMA.....INA UJUMBE MZITO MAMA NA VIJANA WASIO NA AJIRA
Sunday, May 08, 2022
Hii hapa Ngoma nyingine Msanii Kisima 'Nyanda Majabala' kutoka Bariadi Mkoani Simiyu inaitwa Mama...
AJIRA NGUMU...Wazazi nao wanataka UWAHUDUMIE
Wimbo huu ni maalumu kwa MAMA na vijana wote waliosoma ,wanatafuta maisha Mjini lakini ajira hakuna, wanahangaika tu, wazazi nao wanataka hudumaðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜°ðŸ˜°
Video hii imetengenezwa Mbasha Studio na Director Migera ..Tazama Hapa chiniTazama hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin