Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Kisima ' Nyanda Majabala' kutoka Bariadi Mkoa wa Simiyu anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa Mashabiki...Mashabiki ni miongoni mwa nyimbo kadhaa mpya alizoachia...Video hii imetengenezwa Mbasha Studio na Director Migera ..Tazama Hapa chini
Social Plugin