Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Ngoma Mpya Kali Balaa! KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - KUNDI NG'WANONE


Msanii Maarufu Kisima ' Nyanda Majabala' ameachia ngoma kibao mwezi huu, 2022... Hii hapa moja ya ngoma zake mpya na bora kabisa inaitwa Ng'wanone. Video hii imetengenezwa Mbasha Studio na Director Migera ..
Tazama Video Hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com