Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : UCHAFUZI WA MAZINGIRA WAHATARISHA AFYA ZA WANANCHI DIDIA...DIMBWI HATARI KWENYE DAMPO SOKO KUU BALAA

Hili ni dimbwi la maji machafu lililopo kwenye dampo la uchafu jirani na soko kuu la Didia katika halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ambalo linalalamikiwa na wakazi wa eneo hilo kuwa linahatarisha afya zao.

Wakizungumza na Malunde 1 blog iliyofika katika eneo hilo mapema leo Aprili 25,2022,wakazi wa Didia wamesema dimbwi hilo linakusanya maji machafu kutoka maeneo mbalimbali ya Mji wa Didia yakiwemo ya chemba za vyoo na yanayotoka kwenye dampo hali inayosababisha uhalifu wa mazingira .

Mbali na kueleza kuwa dimbwi hilo limekuwa kituo cha kuzalisha mbu waenezao malaria lakini pia pindi maji hayo yanapokauka kumekuwa na harufu mbaya kwani maji hayo yamechanganyikana na uchafu wa dampo lililopo eneo hilo.

Aidha wameomba hatua zaidi zichukuliwe kufukia madimbwi mbalimbali yaliyozagaa katika Mji wa Didia ili kuepuka mlipuko wa magonjwa.

Nao wafanyabiashara wa Soko Kuu la Didia lenye zaidi ya miaka 50 wameziomba mamlaka zinazohusika kujenga choo katika soko hilo kwani hakipo hali inayochangia uchafuzi wa mazingira jirani na soko hilo huku wengine wakilazimika kwenda kujisaidia kwenye vyoo vya watu binafsi
Muonekazo wa dimbwi la maji machafu lililopo kwenye dampo la uchafu jirani na soko kuu la Didia katika halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ambalo linalalamikiwa na wakazi wa eneo hilo kuwa linahatarisha afya zao. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Muonekazo wa dimbwi la maji machafu lililopo kwenye dampo la uchafu jirani na soko kuu la Didia katika halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ambalo linalalamikiwa na wakazi wa eneo hilo kuwa linahatarisha afya zao.

Dampo la uchafu jirani na soko kuu la Didia katika halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ambapo pia kuna dimbwi ambalo linalalamikiwa na wakazi wa eneo hilo kuhatarisha afya zao.

Soko kuu la Didia ambalo lipo jirani Dampo la uchafu jirani na soko kuu la Didia katika halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ambapo pia kuna dimbwi ambalo linalalamikiwa na wakazi wa eneo hilo kuhatarisha afya zao.

Muonekano wa madimbwi katika moja ya mitaa katika mji wa Didia

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com