Akivaa viatu vya kiume anapata maumivu miguuni.
Nchini Togo kuna mchungaji anavaa viatu virefu vya kike anapokuwa katika shughuli zake na matembezi ili kuepuka maumivu miguuni na magonjwa.
Mchungaji huyo anasema akivaa viatu vyake kiume anapata maumivu makali mguuni, baadae akapata maono kutoka kwa Mungu ya kuvaa viatu vya kike na tangu aanze kuvaa viatu vya kike hajawahi kupata maumivu yoyote mguuni.
Social Plugin