Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nuhu Luvingo anakualika kusikiliza wimbo wake mpya alioupa jina la TAI. Wimbo huu umebeba maudhui ya kitabu cha Zaburi 103:5. Ni wimbo wa kila nyakati unazopitia.
Pia siku ya Jumapili/siku ya Pasaka ataachia wimbo mwingine uitwao Kielelezo.
Karibu sana usikilize kwa utulivu, naamini utabarikiwa kwa Jina la Yesu.
Social Plugin