Msanii Aggy Baby
Msanii wa Bongo Fleva Agness Suleiman maarufu 'Aggy Baby' ameachia wimbo Mpya unaitwa 'On The Bed' wenye mtindo wa Amapiano aliomshirikisha msanii Mr LG.
Tayari wimbo huu unapatikana kwenye platform zote za muziki za mitandaoni ikiwemo Boomplay, Youtube.
Mbali ya kuimba pia Aggy Baby ni rapa , msanii wa filamu , mtunzi, Mwandishi wa nyimbo na Mwanaharakati wa Vijana katika mambo ya kusaidia jamii.
Sikiliza Muziki huu mzuri Brand New hit #OntheBed Aggy Baby ft Mr LG
Share na Marafiki na wapendanao na usisahau ku subscribe youtube account ya Aggybaby
Social Plugin