Baada ya kutinga hatua ya robo fainali Simba imepangwa kukutana na Orlando Pirates ya Afrika Kusini.
Simba inayonolewa na Kocha Mkuu,Pablo Franco ina kibarua cha kuanza kusaka ushindi Uwanja wa Mkapa, Aprili 17,2022.
Kete ya mwisho itakayoamua Simba kutinga hatua ya nusu fainali itakuwa ni Aprili 24,2022 Uwanja wa Orlando Afrika Kusini.
Droo imechezeshwa leo nchini Misri ambapo Simba itakutana na vinara wa kundi C walimaliza wakiwa na pointi 13 baada ya kucheza Mechi 6.
Social Plugin