TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISUKUMA KUFANYIKA NHELEGANI -KIZUMBI SHINYANGA KUANZIA APRILI 22 - 23, 2022
Thursday, April 21, 2022
Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma 'Shinyanga Municipal Sukuma Festival' lililoandaliwa na Br. Black Social Partners kwa ajili ya kuuenzi utamaduni wa Kabila la Wasukuma litafanyika kuanzia Ijumaa Aprili 22 hadi Jumamosi Aprili 23,2022 katika viwanja vya shule ya msingi Nhelegani Kizumbi Manispaa ya Shinyanga.
Mgeni rasmi katika tamasha hili 'Lejigukulu lya Nzengo' anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin