Picha ya Haji Manara na mke wake wa pili Rubynah Bint Salum
**
Baada ya kuongeza mke wa pili Alhamisi iliyopita msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amefunguka mpango wa kuongeza mke wa tatu na wanne kwa sababu taratibu za dini zinamruhusu.
"Ikitokea nafasi nyingine kwa mujibu wa dini yangu na kama nitakuwa na uwezo wa kuwahudumia kibaiolojia na kifedha nitaongeza mke mwingine kwa sababu dini inaniruhusu", amesema Haji Manara.
Chanzo - EATV
Social Plugin