Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BI KIDUDE, RUGE MUTAHABA NA DIAMOND PLATNUMZ WAPEWA TUZO ZA HESHIMA


Marehemu Bi Kidude
Marehemu Ruge Mutahaba
***
Msanii mkongwe wa muziki wa Taarab, marehemu Fatma Binti Baraka almaarufu Bi Kidude, amepewa tuzo ya heshima katika shughuli ya utoaji wa Tuzo za Tanzania Music Awards, zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Wengine waliopewa tuzo za heshima, ni marehemu Ruge Mutahaba na msanii Diamond Platnumz kwa mchango wao mkubwa walioutoa katika tasnia ya muziki nchini.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com