RAIS DKT.MWINYI ASHIRIKI KUMBUKIZI YA MIAKA 100 KUZALIWA MWALIMU NYERERE


Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwasili kwenye viwanja vya nyumba ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es Salaam katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Nyerere ambapo Rais Mwinyi alikuwa Mgeni rasmi.Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa pamoja na mkewe wakitazama baadhi ya picha za Hayati Mwalimu Nyerere kwenye viwanja vya nyumba ya Mwalimu Nyerere Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es Salaam katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Nyerere ambapo Rais Mwinyi alikuwa Mgeni rasmi.Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassimu Majaliwa mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya nyumba ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es Salaam katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Nyerere ambapo Rais Mwinyi alikuwa Mgeni rasmi.Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika viwanja vya Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es Salaam.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassimu Majaliwa akizungumza katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika viwanja vya Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es SalaamMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akizungumza katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika viwanja vya Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Mhe.Jenista Mhagama akizungumza katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika viwanja vya Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe.Amos Makalla akizungumza katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika viwanja vya Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es SalaamWaziri Mkuu Mstaafu Jaji Mstaafu Joseph Warioba akizungumza katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika viwanja vya Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es SalaamMeza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi wakipata picha ya pamoja na watoto na wajukuu wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa kwake Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika viwanja vya Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es SalaamMeza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi wakipata picha ya pamoja na wake wa viongozi wastaafu katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa kwake Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika viwanja vya Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es Salaam.Meza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi wakipata picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa kwake Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika viwanja vya Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es SalaamMeza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi wakipata picha ya pamoja na viongozi wa Dini katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya Kuzaliwa kwake Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika viwanja vya Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani leo Aprili 23,2022 Jijini Dar es Salaam

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post