RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WATANZANA WANAOISHI NCHINI MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Marekani Jijini Washington DC.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha na Watoto wa kitanzania wanaoishi Nchini Marekani Jijini Washington DC.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم