**********
NA EMMANUEL MBATILO
KLABU ya Simba leo imeshindwa kufurukuta mbele ya Polisi Tanzania mara baada ya kutoshana nguvu kwa kutoka sare tasa ya bila kufungani yaani 0-0.
Mechi hiyo ambayo ilikuwa yakuvuta nikuvute hasa kutokana Polisi Tanzania kuwadhibiti mastaa wa klabu ya Simba kwa kuhakikisha hawaruhusu goli.
Timu zote mbili zilikuwa zinashambuliana licha ya kutengeneza nafasi nyingi za wazi lakini timu zote hazikuweza kutumia nafasi hizo kwenye mechi hiyo.
Social Plugin