Daddy Chabade a.k.a Chabade ni msanii wa muziki kutoka nchini Rwanda ambaye harakati zake za kimuziki na maisha yake yameegamia nchini Finland.
Chabade ni msanii wa muziki, mwandishi wa nyimbo na pia ni mtu mwenye ndoto kubwa ya kufanya kazi na wasanii kutoka Afrika Mashariki ikiwemo nchini Tanzania bila kusahau watayarishaji wa muziki kutoka Tanzania.
Chabade baada ya kuachia ngoma yake ya TWIKA mwaka uliopita sasa amerejea tena naazi yake mpya ambayo ameipa jina la WINE.
Video ikiwa imeongozwa na Jayrder .
Tazama Video hapa
Social Plugin