KONGAMANO LA AIESEC LAFANYIKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MoCU)


Afisa Raslimali Watu wa mgodi wa Bulyanhulu, Chrispin Ngwaji,akiongea katika kongamano la AIESEC lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)
                                      **
 Kongamano la kuwajengea uwezo wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa kupata ajira sambamba na kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza ikiwemo kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC Tanzania na kudhaminiwa na kampuni ya madini ya Barrick kwa kushirikiana na wadau mbalimbali limefanyika mwishoni mwa wiki katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
Afisa Raslimali Watu Mwandamizi wa mgodi wa North Mara, Erick Wambura, akiongea katika kongamano la AIESEC lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
Baadhi ya wanafunzi wa MoCU katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa AIESEC Tanzania na Barrick wakati wa kongaman hilo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post