RAIS MWINYI AKUTANA NA MADAKTARI BINGWA WA UPASUAJI KUTOKA SHIRIKA LA PELEKS
Saturday, May 14, 2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Madaktari Bingwa wa Upasuaji kutoka Shirika la Peleks, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, baada kumaliza utoaji wa huduma ya upasuaji kwa Wananchi wa Pemba uliofanyika katika Hospitali ya Chakechake na Wete Pemba
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin