Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ( wa pili kulia) akitembelea banda la Shirika la Posta Tanzania leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. ,Katikati ni Mtaalamu wa Mifumo (IT) Shirika la Posta Tanzania , Elisante Samson,wa kwanza kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara Shirika la Posta Tanzania, Costantine Kasese. Picha na Kadama Malunde 1 blog
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akisaini kitabu cha wageni katika banda la Shirika la Posta Tanzania leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog