Picha : VIJANA WA KIJIJI CHA KASENGA WABUNI FURSA KUCHONGA NA KUANDIKA NAMBA ZA ANUANI ZA NYUMBA
Friday, May 13, 2022
UJASIRIAMALI: Baadhi ya vijana wa kijiji cha Kasenga Wilayani Chato mkoani Geita wakitumia fursa ya kuchonga na kuandika namba za anuani za nyumba kwa wakazi wa kijiji hicho kisha kuuza kwa shilingi 1,000 kwa kila mhitaji. Picha na Daniel Limbe
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin