Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

AVUNJA REKODI KWA KUKIMBIA KILOMITA 4399 KWA MGUU MOJA



Jacky alikuwa na ndoto ya kuvunja rekodi ya Guinness.

Jacky Hunt-Broersma kutokea Arizona, Marekani ambaye mwaka 2002 alikatwa mguu mmoja kwa sababu ya ugonjwa wa kansa, amevunja rekodi ya Dunia ya kukimbia marathon 104, kwa siku 104 amekimbia kilomita 4,399 ambapo kwa siku alikuwa anakimbia kilomita 42.1

Katikati ya mwezi Januari, Jacky alitangaza atakimbia maili 2620 kila siku kwa siku 100 ili kuvunja rekodi ya Guinness.

Jacky kwa sasa anasubiria rekodi ya itambuliwe rasmi na kitabu cha Guinness.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com