Mwanaume aitwaye Said Oswayo anayedaiwa kumuua kwa kumpiga risasi kadhaa mke wake Swalha Salum (28) mkazi wa Kirumba jijini Mwanza usiku wa Jumamosi Mei 28, 2022 amekutwa amejiua.
Wanandoa hao walifunga pingu za maisha Disemba 30, 2021.
Rafiki wa mume wa Swalha, ambaye anatuhumiwa kuhusika na kifo cha mke wake huyo, kwa kumpiga risasi saba, hali iliyopelekea umauti kumfika Swalha amezungumzia tukio hilo
Soma pia :
Social Plugin