Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : WAZIRI NAPE NNAUYE AKIWA KATIKA BANDA LA BARAZA LA HABARI TANZANIA 'MCT' MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. Kajubi Mukajanga kwenye banda la MCT leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha. Waziri Nape Nnauye ametembelea banda la MCT wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'Picha na Kadama Malunde 1 blog 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akiwa kwenye banda la MCT leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. Kushoto ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. Kajubi Mukajanga
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akiwa kwenye banda la MCT leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. Kushoto ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. Kajubi Mukajanga.  Picha na Kadama Malunde 1 blog 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com