Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWASILI ACCRA NCHINI GHANA KWA AJILI YA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka Accra nchini Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini humo tarehe 23 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati nyimbo ya Taifa ya Tanzania ikipigwa wakati wa mapokezi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka Accra, nchini Ghana tarehe 23 Mei, 2022.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com