Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ( Mb) akipokea zawadi kutoka kwa waandaaji wa maonesho iliyokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Adam Malima wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo mapema leo.
Maafisa wa TBS wakimuelekeza mzalishaji wa mafuta ya alizeti (Ashura sunflower oil) utaratibu wa kuthibitisha ubora wa bidhaa hiyo pindi alipotembelea banda la TBS katika maonesho ya biashara Tanga yanayofanyika katika viwanja vya Mwahako. Maonesho hayo yamefunguliwa rasmi mapema leo na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ( Mb).
Social Plugin