TTB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
Sunday, May 01, 2022
Watumishi wa Bodi ya Utalii (TTB) wakipata picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Watumishi wa Bodi ya Utalii (TTB) wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin