CHRISTOPHER NDIZEYE ATEULIWA KUWA ASKOFU WA JIMBO LA KAHAMA
Thursday, June 23, 2022
Askofu mpya Jimbo la Kahama, Christopher Ndizeye
ambaye ameteuliwa kushika nafasi hiyo kutokana na askofu aliyekuwepo Askofu Ludovick Minde kuhamishwa na kupelekwa katika Jimbo la kanisa Katoliki Moshi mkoani Kilimanjaro.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin