Kwaya ya Mt. Kizito-Makuburi jijini Dar es Salaam, Tanzania wakitoa burudani wakati wa tamasha la KMK Gala lililofanyika jijini Nairobi nchini Kenya na kuhudhuriwa na umati ya watu.
Kwaya hiyo ilikuwa nchini Kenya kwa ziara kuanzia 31 Mei hadi 6 Juni 2022. Pamoja na mambo mengine wakiwa huko walishiriki misa maalum ya kuombea uchaguzi wa Taifa hilo utakaofanyika Agosti 2022.
Kwaya ya Mt Kizito Makuburi ya jijini Dar es Salaam ikiwajibika jukwaani wakati wa tamasha la KMK Gala lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Nairobi.
Picha zote na KMK Digital
Social Plugin