Malunde 1 blog imekusogezea ngoma za Wasukuma zilizochezwa kwenye Tamasha la Utamaduni Shinyanga Juni 6,2022 na Juni 7,2022.. Chagua hapa
Ngoma ya Kabhunga Kizumbi wakicheza live
Mzuka wa Waswezi wa Usanda noma sana
Waswezi wanacheza live huku wamekaa, utamu kolea
Msanii Shoka wa Chamaguha akitoa burudani Live. Hawa wanenguaji wake balaa
Ngoma ya Wasukuma ya Bhusheshanya kutoka Chambo Kahama kwenye Tamasha lautamaduni Shinyanga
Ngoma ya Beni Wasukuma MANJU Kasana Mhembo Live kwenye Tamasha la Utamaduni
Maajabu ya Jeshi la Wasalama Wasukuma maarufu Sungusungu kwenye maonesho ya utamaduni shinyanga
Tazama hapa matukio yaliyojiri Tamasha la utamaduni, Wasukuma wampa zawadi Rais Samia
Social Plugin