RC MJEMA APOKEA KOMBE BAADA YA STAND UNITED KUPANDA DARAJA LA PILI NGAZI YA TAIFA MSIMU MPYA 2022/2023
Saturday, June 11, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akipokea Kombe kutoka kwa mzee Bernadi Itendele ambaye ni mwenyekiti wa Wazee walezi timu ya Stand United baada ya timu hiyo kupanda daraja kutoka ngazi ya Tatu Kimkoa hadi Daraja la pili ngazi ya Taifa kwenye msimu Mpya wa 2022/2023
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin