Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa akikabidhiwa zawadi ya mtungi wa maji 'friji ya Kisukuma' kwa ajili ya Rais a Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyokabidhiwa na akina mama wa kabila la Kisukuma wakati akizindua Tamasha la Kwanza la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga, Kijiji cha utamaduni cha asili na Filamu ya The Royal Tour kwa mkoa wa Shinyanga Jumatatu Juni 6,2022 - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Tazama hapa matukio yaliyojiri Tamasha la utamaduni, Wasukuma wampa zawadi Rais Samia
Ngoma ya Wasukuma ya Bhusheshanya kutoka Chambo Kahama kwenye Tamasha lautamaduni Shinyanga
Ngoma ya Beni Wasukuma MANJU Kasana Mhembo Live kwenye Tamasha la Utamaduni
Maajabu ya Jeshi la Wasalama Wasukuma maarufu Sungusungu kwenye maonesho ya utamaduni shinyanga
Social Plugin