Watu watano wameangamia katika ajali ya barabara ambayo imetokea eneo la Silanka kwenye barabara ya Narok kuelekea Bomet nchini Kenya.
Kwa mujibu wa ripoti, ajali hiyo iliyosababisha maafa vilevile imeyaacha makumi ya watu wengine yakiwa na majeraha mabaya. Picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha kuwa matatu ya abiria 14 inayomilikiwa na kampuni ya Ena Coach ni mojawapo wa magari yaliyohusika katika ajali hiyo
Social Plugin