RAIS MWINYI ATEUA MANAIBU MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU
Thursday, June 30, 2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi na mabadiliko ya baadhi ya manaibu mawaziri na makatibu wakuu.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Juni 30, 2022 na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena A.Said;
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin