RAIS SAMIA AMTEUA JENERALI VENANCE MABEYO KUWA MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI NCCA
Thursday, June 30, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu Majeshi nchini Tanzania mstaafu,Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCCA).
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin