Kuna wakati nawatazama watoto wangu na kujikuta machozi
yakinitoka, si machozi ya uchungu bali machozi ya furaha, ni kitu ambacho kila
siku nashukuru maana naona kwangu ni zaidi ya miujiza.
Ukisema uchungu wa mwana aujuaye mzazi, basi mimi
nahisi uchungu huo naujua mimi kuliko mwanamke yeyote yule, naona kama
nimepitia changamoto sana katika uzazi wangu.
Nasema hiyo kwa sababu nilipobeba ujauzito wangu wa
kwanza, mimba iliharibika baada ya miezi mitatu, Madaktari waliniambia ni jambo
la kawaida huwa linawatokea wanawake wengi. Nilishauriwa kupumzika kwa muda
kabla ya kuamua kubeba ujauzito mwingine kwa ajili ya kulinada afya yangu.
Kweli nilipumzika na baada ya zaidi ya mwaka mmoja
nilibeba ujauzito mwingine nikiwa na matumaini ya kuitwa mama, lakini nao
ulitoka baada ya miezi saba. Nilihuzunika sana maana ilikuwa imesalia miezi
miwili niweze kujifungua lakini haikuwa hivyo, Madaktari walinifanyia uchunguzi
wakaniambia sina tatizo lolote.
Nilikuja tena kubeba ujauzito mwingine, huu nao ndio
uliharibika mapema zaidi, ukiwa ni miezi mitatu tu nao ulitoka, nilikuwa
nikimtazama mume wangu napata mawazo zaidi na kuhisi anaweza kuniacha na kwenda
kuzaa na mwanamke mwingine nje.
Hatimaye nikabeba tena ujauzito mwingine ambao nilikuwa
na wasiwasi mwingi, huu ulikaa miezi sita nao ukawa umeharibika, nilikuwa na
msongo wa mawazo hadi nikaamua kuacha kazi ili kujipa mapumziko.
Kuna siku wifi yangu ambaye ameolewa huko Kericho
nchini Kenya alikuja kunitembelea nyumbani, nilimuueleza kuhusu hali yangu,
alinipa pole sana na kuniambia kuna Daktari wa mitishamba toka Kericho nchini
Kenya anaitwa Dr. Kiwanga anaweza kunisaidia.
Mume wangu alipotoka kazini nilimueleza kuhusu hilo
aliloniambia wifi yangu, mume wangu alikubali, hivyo kesho yake tukapanda Basi
asubuhi na mapema kuelekea Kericho. Nashukuru tulifika salama na kupokelewa
vizuri, tulionana na Dr. Kiwanga na
kumueleza jinsi ambavyo mimba zangu zimekuwa zikiharibika.
Dr.
Kiwanga alifanya ganga ganga zake kisha baada ya muda
aliniambia nyumba tuliyopanga ndio ina mikosi, hivyo tuhame mara moja, kisha
alinipatia na dawa nyingine za kutumia. Nilirejea nyunbani na kumueleza hilo
mume wangu, tuliamua kuhama kwenye nyumba ile baada wiki chache.
Kweli baada ya kuhama niliweza kubeba ujauzito mwingine
ambao ulikuwa ni watano, nilikuwa na uwoga mwingi na mashaka sana hata pale
nilipoumwa homa ya kawaida tu nilihisi ndio inatoka. Nashukuru nilijifungua
salama mtoto wangu wa kwanza ambaye niliamua kumpa jina la Shukrani.
Baada ya mwaka mmoja na nusu nilibeba ujauzito mwingine
na kujifungua salama mtoto wangu huyu wa pili, kwa kipekee zaidi nashuhudia
kuwa Dr. Kiwanga amekuwa mtu muhimu sana wenye maisha yangu.
Kumbuka Dr. Kiwanga anaweza kukusaidia kupata ujauzito,
kumlinda mume au mke, kumalima migorogoro ndani ya ndoa, kukupa mvuto wa
kimapenzi na mengineo. Kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea
tovuti yake; www.kiwangadoctors.com
au piga simu +254 769404965