MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM DODOMA
Tuesday, June 21, 2022
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mpinduzi ( CCM ) kilichokutana leo tarehe 21 Juni 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin