Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umethibitisha kuwa Mwanamuziki Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.
Muhimbili wamethibitisha hayo kupitia mitandao yao ya kijamii ambapo taarifa hiyo imeandika " Msanii Joseph Haule (Prof. J) jana ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika"
Social Plugin