Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa mkoa wa Kagera alipokuwa njiani kuelekea uwanja wa ndege wa Bukoba kurejea Mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 3 tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na vikundi mbalimbali vya ngoma katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 3 Mkoani Kagera tarehe 10 Juni, 2022.
Social Plugin