Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI JAFO ATEMBELEA BANDA LA VETA KATIKA MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI YANAYOENDELEA JIJINI DODOMA


Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt Selemani Jafo,akikagua Mashine ya Kukata Nyasi mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yanayoratibiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi ( NACTVET) yanayoendelea katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.


Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt Selemani Jafo,akizungumza na Mwanafunzi wa Chuo cha VETA Kipawa, Martina Kwilasa ambaye amebuni Mashine ya Kukata Nyasi kwenye banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yanayoratibiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi ( NACTVET) yanayoendelea katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.


Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt Selemani Jafo,akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uhusiano wa VETA, Sitta Peter kuhusu bidhaa zinazotokana na mafunzo ya ubunifu wa mavazi yanayotolewa katika Chuo cha VETA Arusha. Kushoto ni Mwalimu wa Chuo cha VETA Arusha, Elizabeth Luwongo, katika Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yanayoratibiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi ( NACTVET) yanayoendelea katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.


Mwanafunzi wa Chuo cha VETA Kipawa Francis Madanganya akimwelezea Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt Selemani Jafo, juu ya mafunzo ya mawasiliano ya vifaa vya kompyuta katika mtandao yanayotolewa na Chuo hicho katika Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yanayoratibiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi ( NACTVET) yanayoendelea katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.


Mwanafunzi wa Chuo cha VETA Kipawa, Martina Kwilasa akimuonesha Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt Selemani Jafo, ubunifu wake wa Mashine ya Kukata Nyasi mara baada ya Kutembelea Banda la VETA katika Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yanayoratibiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi ( NACTVET) yanayoendelea katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.


Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt Selemani Jafo,akimpongeza Mwanafunzi wa Chuo cha VETA Kipawa, Martina Kwilasa kwa ubunifu wake wa Mashine ya Kukata Nyasi mara baada ya Kutembelea Banda la VETA katika Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yanayoratibiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi ( NACTVET) yanayoendelea katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com