Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKENDA ATEMBELEA BANDA LA CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA KATIKA MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI JIJINI DODOMA


Mhadhiri Msaidizi na Afisa Udahili kutoka Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika,Samuel Marandu,akimwelezea Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,Kozi zinazopatikana katika chuo hicho baada ya kutembelea Banda la Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kabla ya kufunga Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yaliyomalizika leo Juni 13,2022 katika Uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akifurahia jambo mara baada ya kutembelea Banda la Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kabla ya kufunga Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yaliyomalizika leo Juni 13,2022 katika Uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe,akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea Banda la Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika katika Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yaliyomalizika leo Juni 13,2022 katika Uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknoloji Prof James Mdoe akiwa katika picha ya pamoja na watumishi mara baada ya kutembelea Banda la Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika katika Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yaliyomalizika leo Juni 13,2022 katika Uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com