Home habari DOWNLOAD/ INSTALL UPYA APP YA MALUNDE 1 BLOG
DOWNLOAD/ INSTALL UPYA APP YA MALUNDE 1 BLOG
Sunday, September 18, 2022
Ili kuwa wa kwanza kupata habari na matukio ya ukweli na uhakika kwa wakati matukio yanayojiri Tanzania na dunia kwa ujumla tunakushauri kupakua/ kudownload Aplikesheni ya Malunde 1 blog Tembea na dunia kiganjani mwako kiulaini kabisa ukiwa na malunde 1 blog app Pakua App mpya ya Malunde 1 blog imeboreshwa zaidi ili kukidhi mahitaji ya wasomaji wetu.
MALUNDE
1 BLOG APP
Malunde
1 blog App – ni app maalum kwa ajili ya habari na matukio yanayotokea Tanzania
na nje ya Tanzania. Habari za michezo, ajira ,picha nzuri, mapenzi, siasa,
uchumi, burudani, video mpya, nyimbo mpya na mambo yote mazuri*
Malunde 1 blog App - Usipate tabu tena kutafuta habari za
kusisimua na magazeti ya kila siku, kuwa mjanja malunde 1 blog app ndiyo kituo
cha taarifa mpya, habari za moto moto , yanayojiri magazetini, habari kubwa
magazeti, vichwa vya habari vya magazeti na habari na matukio ya ukweli na
uhakika muda wote. Tunakupa habari kali kali kutoka kwa waandishi wa habari
mahiri.
Malunde 1 blog App – Ni mahali pekee ambapo
utapata habari za Shinyanga, Gamboshi na maeneo yote. Ni kituo cha habari za
kusisimua, siasa, simulizi, mapenzi, michezo,nyimbo za asili na vituko. Mambo
yote ya fashion na mitindo na matangazo ya burudani na biashara utapata kupitia
app hii.
Malunde 1 blog App – Kuwa wa kwanza kupokea
nyimbo za ngoma za asili, ngoma mpya za wasanii wa nyimbo asili na utamaduni.
Tunakupa furaha na burudani za asili ili ufurahie ulimwengu wa burudani kutoka
kwa wasanii wa Kanda ya Ziwa wakiwemo akina Bhudagala, Ng’wana Kang’wa, Ntemi
omabala, Ngelela, Bhulemela, Mama Ushauri, Elizabeth Maliganya, Gude Gude,
Kisima, Mchelemchele, Mlyambelele, Madebe na Wasanii wengine wa ngoma za
Kisukuma, nyimbo za kisukuma, nyimbo za utamaduni , nyimbo za makabila yote.
Malunde 1 blog App - Hii inakupa habari
mbalimbali kuhusiana na mapenzi, mahusiano, mapenzi,jinsi ya kuchagua mchumba,
vyakula vya kuimarisha afya ya uzazi,jinsi ya kupata mrembo wa kuishi naye,
visa vya mapenzi, matukio ya mapenzi ushauri pamoja na simulizi zinazohusu na
mapenzi kila siku zitakazokufanya uweze kujua mambo mengi sana kuhusiana na
Mapenzi na matukio yatokanayo na mapenzi.
Malunde 1 App - App maalumu kwa habari za
michezo na burudani, mechi zote, timu zote zinazocheza na wasanii wa filamu,
bongo fleva, Singeli, bolingo, bongo movie, Royal tour na burudani zote
zitakazokupa raha duniani.
Malunde 1 App - Pia katika App hii utapata
nyimbo mpya za wasanii, visa vya wasanii, nguo za wasanii na mambo yote ya
wasanii duniani. Utapata habari zote kuhusu nchi yako, siasa, uchumi,
utamaduni, mapenzi,picha za matukio na mambo yote ya habari za wasanii ,habari
za wanasiasa, habari za watu maarufu.
Malunde 1 App - Kupitia App hii utapata fursa ya
kusoma visa mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali wakihitaji ushauri kwenye
mambo yanayowatatiza kila siku kwenye maisha na mbinu za kubadili maisha na
kuongeza furaha katika maisha. Habari zote zinazogusa maisha ya watu.
Malunde 1 blog Fahari ya Shinyanga ni blog ya
Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, nyimbo za
asili na habari za kusisimua.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin