Breaking : RAIS SAMIA ATEUA MAKATIBU TAWALA WAPYA WA MIKOA
Thursday, July 28, 2022
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya kazi makatibu tawala 10 na wengine tisa kubakia kwenye vituo vyao.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin