Meneja wa Sehemu ya Masuala ya Wateja na Watumiaji- TCRA, Bw. Thadayo Ringo akiwa ameshika Tuzo ya Udhamini wa Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) iliyokabidhiwa kwa TCRA na Waandaaji wa maonesho -TANTRADE, katika hafla ya kuhitimisha maonesho hayo, iliyofanyika Julai 13, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Social Plugin