Uongozi wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) Leo Jumanne Julai 5,2022 umefika katika Ofisi za Shirika la Reli Tanzania - TRC na Kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika hilo Masanja Kadogosa, pamoja na kumpongeza kwa kufanya majaribio ya treni ya umeme na kusaini Mkataba wa pili wa ujenzi wa reli kipande cha Tabora Isaka
Social Plugin