Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

VIONGOZI WA JUMIKITA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA RELI TANZANIA -TRC



Uongozi wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) Leo Jumanne Julai 5,2022 umefika katika Ofisi za Shirika la Reli Tanzania - TRC na Kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika hilo Masanja Kadogosa, pamoja na kumpongeza kwa kufanya majaribio ya treni ya umeme na kusaini Mkataba wa pili  wa ujenzi wa reli kipande cha Tabora Isaka

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com