Mzee Idd Maganga mkazi wa Ngarenaro Jijini Arusha amevunja nyumba zake mbili kwa madai kuwa kijana wake amekuwa akimsumbua akihitaji urithi zikiwemo nyumba hizo.
Mzee Maganga amedai kuwa kijana wake huyo amekuwa akimsumbua ikiwemo kumfungia ndani kwa siku kadhaa akimtaka ampe uridhi ikiwemo nyumba hizo
"Aliniwekea sijui kitu gani sikijui na akanifungia mlango ndani, mpaka mama Masawe alipompigia mtoto wangu wa kike"
Social Plugin