Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC) , Edwin Soko (kulia) akimkabdhi Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo Kanuni za Maadili ya Uandishi wa Habari Mtandaoni kwa niaba ya Afisa Programu wa UTPC, Victor Maleko ambaye ni Mratibu wa Mradi wa Ushirikiano kati ya UTPC na International Media Support (IMS) leo Jumatano Julai 6,2022 kwenye kikao kazi cha TCRA na Watoa huduma za maudhui kwa njia ya mtandao 'Blogs & Online Tv) Kanda ya Ziwa katika Ukumbi wa Jengo la TMDA jijini Mwanza.
Lengo la kikao hicho ni kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali hususani uzingatiaji wa masharti ya leseni, kanuni na sheria katika utoaji wa maudhui ya mtandaoni pamoja na uelewa juu ya marekebisho ya kanuni za maudhui mtandao.
Kanuni za Maadili ya Uandishi wa Habari Mtandaoni zimeandaliwa na Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini Tanzania (UTPC) kwa kushirikiana na International Media Support (IMS).
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC) , Edwin Soko (kulia) akimkabdhi Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo Kanuni za Maadili ya Uandishi wa Habari Mtandaoni kwa niaba ya Afisa Programu wa UTPC, Victor Maleko ambaye ni Mratibu wa Mradi wa Ushirikiano kati ya UTPC na International Media Support (IMS). Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC) , Edwin Soko (kulia) akimkabdhi Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo Kanuni za Maadili ya Uandishi wa Habari Mtandaoni kwa niaba ya Afisa Programu wa UTPC, Victor Maleko ambaye ni Mratibu wa Mradi wa Ushirikiano kati ya UTPC na International Media Support (IMS)
Waandishi wa Habari wa Mitandao ya Kijamii Kanda ya Ziwa wakiwa katika picha ya kumbukumbu na Meneja wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo

Waandishi wa Habari wa Mitandao ya Kijamii Mkoa wa Shinyanga wakiwa katika picha ya kumbukumbu na Meneja wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo (katikati).
Mwenyekiti wa Jumuiya Ya Wanahabari Wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) Kanda ya Ziwa Kadama Malunde (kulia) ambaye ni Mkurugenzi wa Malunde 1 blog na Katibu wa JUMIKITA Kanda ya Ziwa George Binagi ambaye ni Mkurugenzi wa Binag Media Group - BMG wakiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo (katikati).

JUMIKITA ni Jumuiya inayoundwa na Wanachama ambao ni wamiliki wa vyombo vya habari vinavyohabarisha umma kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii na ambao wamesajiliwa na mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Soma Zaidi <<HAPA>> kuhusu JUMIKITA
Soma pia :